Denno’s Nakupenda (Penzi langu) Lyrics

Mara ya kwanza tulipokutana Pale kanisani kwenye choir Moyo wangu ulichangamka

Nilipokuambia nakupenda (Penda) Nawe ukasema wanipenda pia Nilihisi kufurahia aah

DMCA CODE : AVWdxWiEuE

Read Original Article Here:

VISIT HERE : p i s e v . c o m

https://pisev.com/dennos-nakupenda-penzi-langu-lyrics/

Alichokiweka pamoja Mungu Asiwe yeyote wa kutenganisha Asiwe, asiwe

Alichokiweka pamoja Mungu Asiwe yeyote wa kutenganisha Asiwe, asiwe wa kutenganisha

Nakupenda Beiby nakupenda Siku zote za kalenda Nitakupenda tu  

Nishike mkono pamoja tusonge(Tusonge) Atujalie Maulana watoto tupate Tena tumuombe atusaidie Tuzeeke pamoja wajukuu tuwaone

Tell me what I gotta do to please you Baby something you say I do Coz I solely wanna make you cheerful From the underside of my coronary heart is true

Tell me what I gotta to do to please you Baby something you say I do Coz I solely wanna make you cheerful From the underside of my coronary heart is true

Nakupenda Beiby nakupenda Siku zote za kalenda Nitakupenda tu  

Nakupenda Beiby nakupenda Siku zote za kalenda Nitakupenda tu 

Alichokiweka pamoja Mungu Asiwe yeyote wa kutenganisha Asiwe, asiwe

Tell me what I gotta to do to please you Baby something you say I do Coz I solely wanna make you cheerful From the underside of my coronary heart is true

Nakupenda Beiby nakupenda Siku zote za kalenda Nitakupenda tu  

Nakupenda Beiby nakupenda Siku zote za kalenda Nitakupenda tu 

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

*