Godwill Babette’s Egemeo Lyrics – PSIEV


Roho wako mwenyezi  Amenifanya jinsi nilivyo Pumzi yako, uhai wangu  Umefufua mifupa mikavu  Uhai umenipa Baba yangu  Umetuliza dhoruba  Wakati wa mawimbi  Moyo wangu na ukuiniue wakati Nafsi yangu ikuhimidi kila saa  Egemeo Baba yangu umbali huu  Ninashukuru, Mwamba  Dunia, mbingu ni mwashahidi  Umbali huu ni wewe Bwana wa mabwana

Kwa makubwa madogoumbali umbali huu  Ni wewe Bwana wa mabwana  Na mengi, machache  huu Ni wewe Bwana wa mabwana  Ninakuinua, inua aa  Umetenda mema, mema Bwana Ni wewe  Shamma  Wewe ni Jehovah Shamma  Ni wewe  Jireh  Wewe ni Jehovah Jireh Ni wewe wewe Shamma  Wewe ni Jehovah Shamma  Na bado wazidi kuwa Mungu umekuwa

DMCA CODE : PvNHFxWhzr

Read Original Article Here:

VISIT HERE : p i s e v . c o m

https://pisev.com/godwill-babettes-egemeo-lyrics/

Godwill Babette’s Egemeo Lyrics.For More Article Visit PSIEV


Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*