Mmmh ooh Baba Niwe pekee wanijua vyema Kwako sitetereki kamwe Wanitenda mema na kunipa heshima Umenifanya nisimame
Na kama nikishikwa na shida Nitakimbilia hekaluni mwako Nitajaza nafsi mbele zako bwana Nitasema yote yanayonishinda
Nilipo mie na wewe upo Nilipo mie na wewe upo Bwana Nilipo mie na wewe upo Nilipo mie na wewe upo Bwana
Haa, wanibariki eeh Haaa aah, sitokuacha milele Haa, wanilinda mie Haaa aah, nitakuabudu milele

Hakuna giza tena wala hakuna mashaka Umeivua laana umenivika baraka Moyo wangu wakutamani ewe baba Nafsi yangu yakulilia Umenijaza imani sio haba neno lako nashikilia
Umenishika mkono wako (Asante Asante) Umenivusha magumu (Asante Asante) Umenishika mkono wako (Asante Asante) Umenivusha magumu (Asante Asante)
Nilipo mie na wewe upo Nilipo mie na wewe upo Bwana Nilipo mie na wewe upo Nilipo mie na wewe upo Bwana
Haa, wanibariki eeh Haaa aah, sitokuacha milele Haa, wanilinda mie Haaa aah, nitakuabudu milele
Haa, wanibariki eeh Haaa aah, sitokuacha milele Haa, wanilinda mie Haaa aah, nitakuabudu milele
Milele milele milele Milele..ooh baba wanibariki mimi Na wabariki na wao
Nandy’s Wanibariki Lyrics.For More Article Visit PSIEV
Leave a Reply